Ajali Mbaya yaua wanne Kati Yao wanajeshi watatu
Wednesday, September 10, 2014
Ajali nyingine yatokea Mtwara na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa nyumba iliyokuwa pembezoni.