UZINDUZI WA JIKO LA KISASA SHULE YA LEVELOS

Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya
Simanjiro Mkoani Manyara, Daniel Ole Materi akizungumza juzi baada ya kukabidhi
jengo la jiko la shule ya msingi Levolosi jijini Arusha lenye thamani
ya shilingi
milioni 23.7 na magunia 12 ya mahindi (kushoto) ni mkuu wa wilaya ya Arusha,
John Mongela na Mwenyekiti wa shule hiyo Edward Ngomuo.




Mbunge wa Jimbo la Simanjiro
Christopher Ole Sendeka, (kulia) Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya Simanjiro
Mkoani Manyara, Daniel Ole Materi na Mkuu wa Wilaya ya Arusha, John Mongela
wakikata utepe juzi baada ya Ole Materi, kukabidhi jengo la jiko la shule ya
msingi Levolosi jijini Arusha lenye thamani ya shilingi milioni 23.7 na magunia
12 ya mahindi.


Kamanda Mteule wa UVCCM Wilaya ya
Simanjiro Mkoani Manyara, Daniel Ole Materi akizungumza juzi na waandishi wa
habari baada ya kukabidhi jengo la jiko la shule ya msingi Levolosi jijini
Arusha lenye thamani ya shilingi milioni 23.7 na magunia 12 ya mahindi kwa
ajili ya watoto kunywa uji

0 Comments:

Post a Comment