Mbunge Rose Kamili aliyetekwa na kundi haramu la Green Guard jana huko Kalenga taarifa zinasema hali yake siyo nzuri.
Mbunge huyo alikuwa katika kikao cha ndani na akina mama wa Chadema ghafla akavamiwa na kundi la Green Guard akapigwa vibaya na kudhalilishwa halafu akapelekwa mpaka Ofisi kuu ya CCM Mkoa.
Mbunge huyo aliendelea kutesa kiharamia na kundi hilo huku viongozi wa CCM wakishuhudia.Walipoona hali yake inazidi kuwa mbaya waliwaita polisi na kusingizia alikamatwa akigawa Rushwa.
Taarifa kutoka Kalenga zinasema mbunge huyo anaandaliwa usafiri wa kumpeleka Hospitali ya Rufaa ya KCMC
Pure Natural Baby Diapers Yatoa Elimu Muhimbili kuhusu Pampasi Salama kwa
Watoto Wachanga
-
Wafanyakazi wa Kampuni ya Pure Natural Baby Diapers wakiwa katika picha ya
pamoja.
Na Mwandishi Wetu.
KAMPUNI ya Pure Natural Baby Diapers imesisitiza dh...
30 minutes ago
Huu ni unyanyasaji wa kijinsia wa hali ya juu na kujaribu kuwarudisha nyuma wanawake kwenye masuala ya siasa
ReplyDelete