Mwenyekiti wa Baraza la Vijana wa Chadema taifa, John Heche,
akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Lumuli, wakati wa kampeni za kumnadi
mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia
chama hicho, Grace Tendega uliofanyika kijijini hapo jana.
Meneja wa Kampeni za mgombea wa ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la
Kalenga mkoani Iringa, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Alphonce Mawazo akiwa amembeba mtoto Zakina Miwela anayesoma
darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa
kiongozi wa CCM katika kijiji cha Lumuli, anavyoonekana masikini kutona
na sare zake za shule kuchanika, wakati wa mkutano wa kampeni
uliofanyika kijijini hapo jana.
Meneja
wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(Chadema), Alphonce Mawazo, akimwelezea mtoto Zakina Miwela, anayesoma
darasa la pili katika Shule ya Msingi Lumuli, ambaye ni mtoto wa
kiongozi wa CCM wa kijiji hicho, anavyoonekana bila viatu na sare zake
kuchanika, wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kijijini hapo jana.
Meneja wa Kampeni za mgombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Kalenga kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Alphonce Mawazo na mgombea, GraceTendega, wakizungumza na akinamama wa kijiji cha Lumuli, katika kikao maalumu baada ya mkutano wa kampeni, zilizofanyika kijijini hapo jana.





0 Comments:
Post a Comment