NEWS: Ajali Basi la Bunda Lagongana na Treni,watu wanne wafariki dunia papo hapo.
Basi la Bunda Express lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi hii limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.
Kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka eneo la tukio kinasema kuwa watu wanne wamefariki dunia na kadhaa kujeruhiwa.
Majeruhi Tayari wamepelekwa kwenye Hospitali ya Wilaya ya Manyoni.
WAFANYAKAZI TUME YA UTUMISHI WA UMMA, WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA
NGORONGORO.
-
Watumishi wa ofisi ya Rais Tume ya Utumishi wa Umma, leo Februari 4,
wakiongozwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Mstaafu Hamisa H. Kalombola,
wametembele...
12 hours ago
0 Comments:
Post a Comment