Dar es Salaam, Tanzania. Taarifa zilizotufikia zimebainisha kwamba aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, John Nchimbi ndiye atakayeridhi nafasi ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwigulu Nchemba. Vyanzo vya habari, vinadokeza kwamba tayari amepitishwa na Nchimbi anasubiri kutangazwa
kushika nafasi hiyo.
Nchimbi alijiuzuru nafasi ya Waziri wa Mambo ya Ndani baada ya 'operesheni Tokomeza Ujangili' kusababisha watu kupoteza maisha na
wengine kujeruhiwa.
TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI MFUMO IMARA WA UFUATILIAJI NA UDHIBITI
UTAKASISHAJI FEDHA HARAMU
-
Na. Joseph Mahumi, WF, Arusha
Tanzania imeihakikishia Jumuiya ya Kimataifa inayojihusisha na ufuatiliaji
na udhibiti wa Utakasishaji fedha haramu, ufadhili...
2 hours ago
0 Comments:
Post a Comment