Rais wangu najua huwa unasafiri sana inawezekana wakati haya yanatokea ulikuwa safarini na kwa bahati mbaya au makusudi wasaidizi wako hawakukueleza leo naomba uangalie matukio mabaya kabisa ya kisiasa kuwahi kutokea nchi Tanzania labda utakumbuka hata kutoa pole kwa wafiwa...
Mbunge wa Ilemela Mhe. Kiwia na Mhe. Machemuli baada ya kukatwakatwa na Green Guard
Tukio baya kabisa kuwahi kutokea nchi tanzania lilipoteza uhai wa watanzania wanne mkoani Arusha kwenye uwanja wa Soweto ilikuwa ni kwenye kufunga kampeni za uchaguzi mdogo tarehe 15.06.2013.
Wakala wa chadema aliyeuwawa kinyama na kutupwa karibu na gereza la Igunga hii ilikuwa ni kwenye uchaguzi mdogo mkoani Tabora jimbo la Igunga
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema kata ya Usa River akiwa amechinjwa kama kuku na watu wanao sadikiwa kuwa ni makada wa CCM kwa kumtumia mtu mmoja kutoka singida aliyefanikiwa kuwatoroka polisi wanane wakiwa na silaha za moto mahakama kuu kanda ya kaskazini iliyoko mkoani Arusha.
TANZANIA KUIMARISHA ZAIDI MFUMO IMARA WA UFUATILIAJI NA UDHIBITI
UTAKASISHAJI FEDHA HARAMU
-
Na. Joseph Mahumi, WF, Arusha
Tanzania imeihakikishia Jumuiya ya Kimataifa inayojihusisha na ufuatiliaji
na udhibiti wa Utakasishaji fedha haramu, ufadhili...
47 minutes ago





0 Comments:
Post a Comment