Dkt. Nchimbi Akutana na Absalom Kibanda Makao Makuu ya CCM



Dodoma, 27 Juni 2025 – Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi, amekutana na kufanya mazungumzo na mwandishi mkongwe na Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Ndugu Absalom Kibanda, katika ofisi za Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma.







0 Comments:

Post a Comment