Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia bidhaa mbalimbali za kilimo zilizotokana na bustani zilizopo kwenye Viwanja vya Maonesho ya Nanenane, Nzuguni Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2024. Bustani hizo zimetumia mbolea za ndani na nje ya nchi ili kuwaonesha Wakulima tija ya mbolea za ndani.
RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI DODOMA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma ...
17 hours ago







0 Comments:
Post a Comment