Mbunge Ahimiza Serikali Kupata Masoko ya Uhakika kwa Wazalishaji wa Kahawa

 MBUNGE AHOJI LINI KUTAPATIKANA UHAKIKA WA SOKO LA KAHAWA LENYE TIJA?


HII NI BAADA KWA KIPINDI KIREFU SASA WAKULIMA WA ZAO HILO KUONEKANA KUKOSA MASOKO YA UHAKIKA


Na Gift Mongi

Moshi


Katika kuhakikisha kubwa wakulima wa zao la kahawa wananufaika vyema na zao hilo la kibiashara ni lazima kuwepo na soko la uhakika 


Katika kuhakikisha soko hilo la uhakika jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanywa lengo likiwa na kumhakikishia mkulima juu ya mustakabali wa zao hilo la kibiashara ili kumwezesha kujikwamua kiuchumi





Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini Profesa Patrick Ndakidemi aliuliza swali la nyongeza bungeni kama ifuatavyo: Je? Serikali ina mikakati gani mahususi wa kutafuta wanunuzi na masoko yenye tija kwa wakulima wa kahawa Tanzania?


Baada ya swali hilo la nyongeza basi serikali kupitia kwa naibu waziri wa kilimo David Silinde ikatoa majibu kama ifuatavyo.




0 Comments:

Post a Comment