Mkuu wa mkoa wa Arusha. Paul Makonda amepanda miti katika jengo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro ambalo linajengwa mjini karatu katika ziara yake ya kupita wilaya zote za jiji la Arusha na kuwafikia wananchi leo may 24 2024
Jengo hilo linalotarajiwa kukamilika mwezi juni mwaka huu ikiwa ni utekelezaji wa serikali wa kupunguza shughuli za kibinadamu katika hifadhi ya Ngorongoro
Wakati akikagua ujenzi wa ofisi hizo Rc Makonda alipanda mti katika viunga hivyo kuashiria kusapoti na kuunga mkono serikali na utunzaji wa mazingira na uoto wa asili
0 Comments:
Post a Comment