Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, amefika nyumbani kwa Waziri Mkuu mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, aliyefariki dunia februari 10, 2024, kwa ajili ya kutoa salamu za pole kwa na kusaini kitabu cha maombolezo.
WAANDISHI WA HABARI GEITA WAPEWA MBINU ZA KUTHIBITISHA NA KUHAKIKI TAARIFA
-
Mkurugenzi wa Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania (UTPC),
Kenneth Simbaya akizungumza wakati akifungua mafunzo maalum kuhusu
Uthibitishaji na U...
7 hours ago


0 Comments:
Post a Comment