Rais, Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Mkutano wa Mabalozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji tarehe 15 Februari, 2022.
Rais, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya Mkutano wa OACPS uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni katika Makao Makuu ya Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya kuhutubia tarehe 15 Februari, 2022.
0 Comments:
Post a Comment