MRAMBA AFARIKI DUNIA

 


ALIYEKUWA Waziri wa fedha katika serikali ya awamu ya Tatu, Basil Pesambili Mramba, (81) amefariki leo Agosti 17,2021 asubuhi kwenye hospitali ya Regency alipokuwa akipatiwa matibabu.


Taarifa iliyotolewa na mtoto wake, Godfrey Mramba imeeleza kuwa msiba utakuwa nyumbani kwa marehemu barabara ya Mawenzi, Oysterbay.


Hata hivyo taarifa hiyo imeeleza kuwa kutokana na ugonjwa wa Cobid 19 gamilia inapokea salamu za rambirambi lakini watakaoruhusiwa kugika nyumbani hapo ni ndugu wa karibu tu.


Mramba amekuwa mbunge wa Rombo kwa vipindi tofauti ambapo ameshika nyadhifa mbalimbali serikalini ikiwemo ukuu wa mkoa Mbeya


TAARIFA KAMILI

*HON. BASIL PESAMBILI MRAMBA KENDE MALAMU!!!*



*Born*: 15th May, 1940. *Departed*: 17th August, 2021.  With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, *Basil Pesambili Mramba*; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered. Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning,  17th August; 2021.  Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and  asks for privacy.   We will receive visits from Family Members *ONLY* at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay.  Further information and program will be shared at a later stage.  The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace.    Amen. Godfrey B. Mramba.





0 Comments:

Post a Comment