WAZIRI Mkuu , Kassim Majaliwa leo tarehe 20 Februari, 2021 ameongoza mamia ya waombolezaji kwenye maziko ya aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi, Mhandisi, John William Kijazi yaliyofanyika kwenye makaburi yaliyoko katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Augustino Manundu Korogwe, Tanga.
SHULE ZOTE ZA SERIKALI KUFIKIWA NA VITABU KABLA HAZIJAFUNGULIWA
-
MKURUGENZI Mkuu wa Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) Dkt. Aneth Komba
amesema, TET imejipanga kuhakikisha shule zote za Serikali zinafikiwa na
vitabu kabla h...
8 hours ago



0 Comments:
Post a Comment