RAIS John Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege waGeita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ysiku moja.
Rais Magufuli akimzawadia kinyago cha Kimakonde cha "UJAMAA" mgeni wake Rais, Zewde walipowasili Ikulu ndogo ya Chato mkoani Geita.
Rais, Magufuli akimzawadia picha ya kuchora ya Mlima Kilimanjaro mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia, Zewde.
Rais huyo amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja.



0 Comments:
Post a Comment