Hii hapa zawadi watoto wa Diamond waliyomletea baba yao yaond na watoto wake

 



Mwanamuziki maarufu nchini, Diamond Platnumz hatimaye amekutana na watoto wake kwa mara ya kwanza tangu mwaka 2018.


Aliyekuwa mke wake Zari Hassan aliwasili Tanzania jana usiku pamoja na watoto wao Tiffah na Nillan.


Picha za Video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinamuonesha Diamond Platnumz akiwalaki watoto wake wawili.


Baada ya watoto hao kupokelewa, mmoja aliulizwa na wanahabari "umemletea nini baba na bibi yako?" na kujibu ‘’Pizza’’.

Picha kwa hisani ya Wasafi


1 comment: