WANANCHI wa Lamadi wamefunga barabara kumzuia mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema, Tundu Lissu asiondoke eneo jilo bila kuongea nao.
Walifikia uamuzi huo baaada ya kupata taarifa kuwa Lissu amelala kwenye eneo lao lakini ratiba yake haionyeshi kama atakuwa na mkutano kwenye eneo hilo.
Hivyo walifunga barabara na kumtaka kuzungumza lolote kabla hajaondoka Lamadi kuendelea na ratiba zake za mikutano leo.
0 Comments:
Post a Comment