SPIKA NDUGAI AREJEA NCHINI



SPIKA wa Bunge la Jamhuri wa Muungano, Job Ndugai amerejea nchini leo akitokea India alikokuwa amekwenda kwa ajili ya matibabu.

Katika mapokezi  yake, Ndugai amelakiwa na Mke wa rais Mstaafu jakaya Mrisho Kikwete ambaye pia ni mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salama Kikwete.

0 Comments:

Post a Comment