MTULIA KUAPISHWA

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuanza vikao vyake kwenye mkutano wake wa 11 ambapo miongoni mwa shughuli za mwanzo ni kuwaapisha wabunge wateule, Maulid Mtulia wa Kinondoni na Godwin Mollel wa Siha.


0 Comments:

Post a Comment