PICHA 8: Diwani Melance Kinabo ahudhuria Mahafali ya Kidato cha nne Arusha Day

LIVE: Diwani wa Kata ya Themi Melance Kinabo ahudhuria Hafla ya mahafali ya Kidato cha nne Sekondari ya Arusha Day ..

October 19 kunafanyika Mahafali ya Kidato cha nne Shule ya Sekondari ya Arusha Day Mkoani Arusha.

VOA TV News imeshuhudia uwepo wa Diwani wa Kata ya Themi Mh. Melance Kinabo. Kama kawaida Nazi yetu ni kukusogezea Updates zote .







0 Comments:

Post a Comment