Waziri mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA), Edward Lowassa leo ameungana na wakazi wa Monduli katika maziko ya mtoto wa aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Hayati Edward Moringe Sokoine, Marehemu Tumaini Kereto Edward Sokoine.
Maziko hayo yaliyofanyika katika eneo la Monduli Juu kwenye makaburi ya familia yaliyo kwenye boma la waziri mkuu huyo wa zamani Sokoine.
Maziko hayo yaliyofanyika katika eneo la Monduli Juu kwenye makaburi ya familia yaliyo kwenye boma la waziri mkuu huyo wa zamani Sokoine.
0 Comments:
Post a Comment