PICHA 16: Meya Bora wa Tanzania Kalisti Lazaro anaendelea na ziara ya kikazi nchini Marekani

Leo jumapili nimeungana na waumini wa ha North Carolina kuiombea nchi yangu na Mh Lissu,kanisa hili limechejengwa mwaka 1920 black Enginer ambapo inasimamiwa na Duke hospital na Duke University ambayo inauhusiano wa kubadilisha mafunzo na kcmc Kilimanjaro-Meya Bora Tanzania Kalisti Lazaro

















0 Comments:

Post a Comment