Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe,ametaka wachunguzi wa kimataifa wahusike kufuatilia suala la kupigwa risasi kwa Mbunge Tundu Lissu
Zitto ameandika katika ukurasa wake wa Facebook kwamba wachunguzi wa ndani ya nchi hawawezi kuaminika katika kadhia hii.
Kwa sasa Tundu Lissu yupo jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwa risasi na watu wasiojulikana siku ya Alhamis.
Mpaka sasa hakuna mtu anayeshikiliwa kwa tuhuma hizo

0 Comments:
Post a Comment