![]() |
| Askofu Mkuu wa kanisa la P.A.G Tanzania Mh. Daniel Awet |
Viongozi waliotoa masikitiko yao walikuwa pamoja na Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Dkt. John Pombe Magufuli na viongozi wengine pamoja na mastaa maarufu wa muziki nchini wakiongozwa na staa wa 'Eneka' Diamond Platnumz
![]() |
| Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Bishop Dkt Josephat Gwajima |
Viongozi wa dini nao hawakua mbali katika kuguswa na tukio hilo la kupigwa risasi kwa Tundu Lissu ambapo Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima Bishop Dkt. Josephat Gwajima aliahidi kuongoza ibada Maalum kumuombea Tundu Lissu.
Sasa ikufikie taarifa kuwa VOA TV News na Habaritanzaniagracemacha.com zimempata Askofu Mkuu wa Kanisa la P.A.G Tanzania Askofu Daniel Awet ambaye pamoja na kulaani tukio hilo alitoa wito wake kwa viongozi wa dini kuiombea amani nchini.
Hii video hapa chini kutoka VOA TV News ina kila kitu Play ushuhudie...


0 Comments:
Post a Comment