VIDEO: Nimekusogezea kikubwa alichoeleza Kamanda wa usalama barabarani alivyoshtukiza ubungo leo

”Abiria wazitumie kutoa taarifa kwa Kikosi cha Usalama Barabarani na yeyote atakeyehusika katika kuzitoa namba hizi kwenye mabasi atachukuliwa hatua kali za kisheria.” – SACP Fortunatus Musilimu

0 Comments:

Post a Comment