PICHA 16: Joram Mkumbi afanya Semina fupi kuhusu Uhusiano kati ya Uislamu na Ukristo..

Kwa leo Bw. Mkumbi ameeleza jinsi dini mbalimbali zinavyoingiliana na kuelezea uhalisia wa dini hizo zilivyoanzishwa.. 

Bw. Joram Mkumbi amejikita katika kuekeza mahusiano kati ya dini hizo na madhumuni ya kila dini katika ulimwengu "Dini ikitumika vizuri inajenga uhusiano mwema na zikitumika vizuri hujenga amani baina ya jamii kwa ujumla"

Semina fupi iliyofanyika katika hoteli ya Kimahama hapa jijini Arusha imehudhuriwa na wanafunzi wa chuo cha Emags College of Arts & Media. Ambao.

Kingine muhinu kilichozungumzwa katika kikao hicho ni pamoja na vita za kiuchumi kati ya jamii ya nchi mbalimbali huku kukiwa na malengo thabiti.

Mikusanyiko ya picha zote hizi hapa...














0 Comments:

Post a Comment