HIVI PUNDE: Ushindi a Real Madrid UEFA Super Cup dhidi ya ManUnited

Real Madrid ambao walianza game bila uwepo wa staa wao Cristiano Ronaldo aliyeingia dakika 8 za mwisho, wamefanikiwa kupata Ubingwa wa UEFA Super Cup kwa kuifunga Man United kwa magoli 2-1, magoli ya Realyakifungwa na Casemiro dakika 24, Isco dakika ya 52 na Man United walipata goli la kufutia machozi kupitia kwa Romelu Lukaku dakika ya 62.

0 Comments:

Post a Comment