BREAKING NEWS: Nani Rais a Kenya kati Ya Kenyatta na Odinga? Jibu hili hapa

Uhuru Kenyatta Gatundu



























Tume imetangaza matokeo ya vituo 28172 kati ya jumla ya vituo 40883.

  1. Uhuru Kenyatta wa Jubilee ana kura 5,832,837 (55.18%)
  2. Raila Odinga wa ODM 4,652,710 (44.02%)
  3. Abduba Dida wa ARK 18,924 (0.18%)
  4. Japheth Kaluyu (huru) 7,834 (0.07%)
  5. Michael Wainaina (huru) 5,789 (0.05%)
  6. Joseph Nyagah (huru) 26,069 (0.25%)
  7. Ekuru Aukot wa Thirdway Alliance 18,373 (0.17%)
  8. Cyrus Jirongo wa UDP 7,520 (0.07%)

Raila Odinga

0 Comments:

Post a Comment