Msimu wa Fiesta umezinduliwa Rasmi Mwenyekiti wa Fiesta Sebastian Maganga amesema Fiesta msimu huu itazunguka katika miji 15 ikiwa ni nyongeza ya miji mitatu ambayo kwa zaidi ya miaka mitatu hadi minne haikuwahi kuburudishwa na Fiesta.
hapa chini nimekuwekea Quotes za Mwenyekiti wa FIESTA...Sebastian Maganga
”Mpango kama mwaka jana, Miji 15 kuzuznguka Tanzania na kuna kama miji mitatu mipya ambayo ni Njombe…kuna Iringa ambayo mara ya mwisho ilikuwa kama miaka minne iliyopita na Mji wa Musoma nao mara ya mwisho ni kama miaka mitatu iliyopita.
“Utaratibu mzima utatoka kwa mujibu wa mtiririko huo na heshima hiyo ya mahitaji na matakwa. Kwa hiyo, tumeyachakata na baadaye tutakuja na majibu ya wapi pataanza na mtiririko mzima.” – Sebasti
0 Comments:
Post a Comment