BURUDANI: Sababu ya Roma kwenda Zimbabwe

Baada ya Msanii Roma Mkatoliki kuachia Wimbo mpya 'Zimbabwe' ambapo katika track hiyo Korasi ilikua ikirudia rudia 'Naenda Zimbabwe' hata hivyo taarifa iliyozagaa nakuthibitishwa na mkewe akitambulisha wimbo huo kwa niaba ya Roma alisema Roma amesafiri. sasa leo kutoka AYO TV nimekuletea Video Roma Akiwasili kutoka Zimbabwe.


Video ya wimbo wa Roma 'Zimbabwe' hapa chini

0 Comments:

Post a Comment