BURUDANI LEO: "Baby Dance Challenge" na I miss you ya Diamond Platnumz

Moja kati hit za Msanii wa Tanzania Diamond Platnumz ambazo zilipokelewa vizuri sana barani Africa ni pamoja na hit yake iliyobatizwa kwa Nina la I miss you.. Wimbo haukuwa tu mtamu kwa watu wazima Bali hata kwa watoto wadogo ambao wameonekana kuvutiwa sana na wimbo huu wa 'I miss you' 

Hapa chini nimekusogezea video ambayo ukiiplay kama haujawahi kufurahi ipasavyo hapa utafurahi lazima .... 

0 Comments:

Post a Comment