Askofu Gwajima 'Mzee wa kuliamsha dude' Amenunua ndege hii ya Kifahari..

 Ndege mpya ya Askofu Gwajima aina ya Gulfstream N60983
 Ni ndege ya kisasa na ya kifahari iliyobuniwa nchini Marekani yenye uwezo wa kubeba abiria 8 hadi 10. Ina speed hadi kilomita 900 kwa saa, Ina uwezo wa kwenda hadi umbali wa kilomita 8,000 bila kuongeza mafuta (sawa na kutoka Dar hadi Rio De Janairo Brazil).
Pia ina nafasi inayoweza kutumiwa kama ofisi, dining, veranda. Askofu Gwajima amesema ndege hii itatumika kueneza injili ya Kristo sehemu mbalimbali duniani

0 Comments:

Post a Comment