VIDEO: ACT-Wazalendo kuhusu kukamtwa Halima Mdee na Wabunge wengine

“Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo inalaani na kupinga vikali tabia ambayo inaonekana kuzidi kumea mizizi siku za hivi karibuni ya baadhi ya viongozi wateule wa Rais hususan Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kutumia vibaya Sheria ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa kumrisha kukamatwa na kuwekwa kizuizini kwa saa 48 viongozi wa kisiasa ambao wanaonekana kuwa na maoni tofauti na viongozi hao.” – Karama Kaila.

0 Comments:

Post a Comment