UPDATES: Sababu Katibu mkuu na makada wengine CHADEMA kuwekwa ndani kwa saa 48

Katibu Mkuu wa Chama Dr. Vincent Mashinji pamoja na viongozi wengine 8 wa chama wakiwemo wabunge wawili wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wamewekwa ndani kwa masaa 48 kwa kile ambacho OCD wa Wilaya ya Nyasa amesema ni maagizo aliyopewa.

Image result for KATIBU MKUU CHADEMAWanaowekwa ndani kwa masaa 48 ni;

*Waliowekwa ndani ni*;

1. Mhe. Dr. Vincent Mashinji (Katibu Mkuu)
2. Mhe. Cecil Mwambe (Mkiti wa Kanda na Mbunge wa Ndanda)
3. Philbert Ngatunga (Katibu wa Kanda)
4. Ireneus Ngwatura (Mkiti Míos)
5. Delphin Gazia (Katibu Mkoa)
6. Zubeda Sakuru (Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma)
7. Asía Mohamed (Afisa Kanda)
8. Cuthbert Ngwata (Mkiti Wilaya)
9. Charles Makunguru (Mwenezi Wilaya)

Awali walikuwa wamehojiwa kwa makosa ya unlawful assembly na maandamano.

0 Comments:

Post a Comment