Mama Advera Kyaruzi ambaye awali alidhulumiwa kiasi cha shilingi milioni 10 kabla ya kurudishiwa baada ya Rais Dkt. John Magufuli kuingilia kati.
Ni mama aliyezulumiwa Fedha Mill 10 ambaye alimlilia Rais Dokta John Pombe Magufuli kwa kuingilia kati suala lake baada ya kukosa ufumbuzi.
Mama Huyo amemshukuru Rais kwa kumsaidia kuzirejesha fedha zake.
Mama Hugo aliiambia Shirika la Habari Tanzania TBC kuwa aliamua kumfuata Rais mei mosi alkppkuwa akihutubia katika viwanya vya ushirika Moshi baada ya kukosa utatuzi wa suala lake hilo.
Ambapo Mara baada ya Rais kumsikiliza mama Huyo alimuahiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh. Mrisho Mashaka Gambo kulishughulikia suala hilo.
Pia Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mh. Mrisho Gambo akasisitiza kuwa viongozi wako kwa ajili ya kusaidia na kuhudumia wanyonge.
PLAY VIDEO HAPA CHINI,
0 Comments:
Post a Comment