Kiongozi wa Upinzani Nchini Tanzania, Mhe. Freeman Mbowe (wa pili kutoka kulia) akiwa mmoja wa wanajopo waliowasilisha mada na kuongoza mjadala kwenye Mkutano Mkuu wa Biashara na Uwekezaji kwa Nchi za Maziwa Makuu.
Wanajopo wengine kutoka kushoto ni Douglas Carswell mwakilishi kutoka Uingereza, Jan Zahradil (Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Biashara za Kimataifa katika Bunge la Ulaya) Murray Bruce, (Seneta wa Jimbo la Beyelsa, Nigeria,) na Agatha Juma mwakilishi wa sekta binafsi kutoka Kenya.
Mkutano huo uliowakutanisha viongozi kutoka nchi mbalimbali duniani, umefanyika leo (Julai 14, 2017) jijini Kampala, Uganda.

0 Comments:
Post a Comment