“Nilitegemea kwamba nikikutana na Ben Pol atanichukulia sijui mtu gani lakini to be honest Ben Pol kanipokea vizuri sana na pia tumeongea mengi. Nimemuelezea hisia zangu ambazo nilikuwa nazielezea hadharani, ye mwenyewe nimemuelezea. Tumeongea vingi but sitaweza kuvisema vyote.” – Ebitoke.
MWENGE WA UHURU 2026 WARIDHISHWA NA MRADI WA ZAHANATI YA MUUNGANO
-
Na Oscar Assenga, Muheza
WANANCHI 6,258 wa Kijiji cha Muungano, Wilaya ya Muheza, wamenufaika na
huduma bora za afya kufuatia kukamilika kwa ujenzi wa Za...
11 minutes ago
0 Comments:
Post a Comment