| katibu mkuu CUF Mh. Maalim Seif |
Kumuondoa madarakani katibu Mkuu"
2."Hakuna upande wa Lipumba na Maalim Seif bali ni mgogoro kati ya Lipumba, kikundi chake na Chama cha CUF, chama sio cha mtu"
3. Msajili wa vyama vya siasa tunamshtaki kwa kuiba pesa zetu ndio maana anatafuta kesi ifutwe"-Maalim Seif
4. "Naamini hapa tulipofika ni mwenyezi Mungu tu anaweza kuzuia haki isipatikane na si mwingine"-
5. "Kwa nini nasema bodi ya Lipumba ni feki, ni kwa sababu katiba ya CUF mamlaka ya kuteua ipo chini ya baraza kuu, msajili anajua
6. "Sisi tunaona chombo kinachoweza kurejesha haki ni mahakama hata kama itachelewa, haki haipotei"-Maalim Seif
7. "Lipumba si mwanachama na hawezi kuwa mwenyekiti, sisi tunasema ni mwenyekiti wa msajili"
8. "Nikae na Lipumba kama nani? Lipumba alijiuzulu mwenyewe kwa utashi wake na barua iliwasilishwa kwenye mkutano mkuu wa Taifa"
9. "Chama cha CUF kimepata mshtuko mkubwa sana baada ya kuona taasisi kubwa (RITA) inaghushi nyaraka"
10."Taarifa za kusajiliwa kwa bodi feki ya Prof. Lipumba zilipatikana June 20 2017"
11."RITA walikubali ombi la msajili wa vyama vya siasa, wameghushi mpaka sahihi ya Lipumba licha ya kwamba ni mshiriki wao"
12. "Msajili wa vyama vya siasa aliwasiliana na RITA akiomba kusaidiwa kughushi kumbukumbu za bodi ya CUF"
13."Sisi hatutovunjika moyo na maamuzi yoyote ya mahakama, sisi tuko makini, fujo hatutaki lakini tunataka kufuata sheria za nchi"
14."Tunazo taarifa kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa RITA ameshinikizwa kuandisha wajumbe feki wa bodi ya CUF" Sentensi za Katibu Mkuu CUF Maalim Seif
0 Comments:
Post a Comment