MAENDELEO: Norway Yaimarisha uhusiano na Tanzania

 
Serikali ya Norway imesema itaimarisha uhusiano wake na Tanzania katika masuala yanayohusu uwekezaji na maendeleo ya huduma za kijamii.



Akimhakikishia Rais Magufuli Waziri Wa mambo ya nje Wa Norway Bw. Borge Brende amesem nchi yake itazidi mushirikiana na Tanzania. Taarifa zaidi hii hapa.


0 Comments:

Post a Comment