EXCLUSIVE: Ni Saa ya Kumrudia Mungu.. Overnight Youth Concert

"TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU" 
 NI MKESHA WA TAMASHA LA KUSIFU NA KUABUDU UMEANDALIWA NA (VIJANA) YOUTH OVERNIGHT CONCERT KATIKA KANISA LA (T.A.G) CORNERSTONE CENTRE - KIBAHA
       
Date: 30th June, 2017,
Time: 21hrs till down,
Vanue: CCC KIBAHA -MAILI MOJA.

1.Coaching| 2. Praying| 3.Singing| 4.Dancing| 5.Drink| 6.Bite| 7.Light | 8.Photo| 9.Gospel Rap| 10.Stand up Comedy e.t.c

Mobile: 0719 161569 / 0656 170796 (Leaders) Mawasiliano: Kwa msaada wa Kufika

Kibaha- Pwani (Maili Moja) Fika Mwanalugali Maduka sita

IKIWA NI MWIMBAJI BINAFSI | KIKUNDI | KWAYA N.K WOTE WANAHARIKWA NA KURUSIWA KUHUDUMU  SIKU HIYO FIKA PASIPO KUKOSA.

NB: KATIKA MAISHA YETU KUNA VITU LAZIMA TUVIPE NAFASI HASA RATIBA ZETU FAHAMU KUWA TAMASHA HILI LIMEANDALIWA KWAAJILI YAKO WEWE.

                    "WOTE MNAKARIBISHWA"

0 Comments:

Post a Comment