UPDATES: Rais Magufuli Aitembelea TBC, ataka fedha kiasi cha Billioni 1 na 285 million aliyoitoa kwa ajili ya TBC itumike ipasavyo

Rais Magufuli leo ameyembelea kituo cha Habari cha taifa TBC ,  katika ziara take hiyo Rais ameangalia jinsi chombo hicho cha Habari kinavyoendesha vipindi vyake na suala zima la miundo mbinu inayotumika na chombo.


0 Comments:

Post a Comment