Siku chache zilizo pita HABARI TANZANIA GRACE MACHA Tulikutaarifu kuhusu mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani ambaye anaishi Tanzania huko Songwe sasa habari hii imezaa matunda mtu wangu ni kwamba Mkuu wa Mkoa wa Songwe Chiku Galawa amemkabidhi mzee huyo Wheel Chair pamoja na Bima za Afya yeye na mke wake.
CRDB YAADHIMISHA MEI MOSI KITAIFA NJOMBE
-
*Na Mwandishi Wetu*
*Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono
wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushirik...
13 hours ago


0 Comments:
Post a Comment