TETEMEKO :RC Kijuu asema ni bora yatokee matetemeko madogo..

Kufuatia Tetemeko ilivyotokea mkoani Kagera April 30 mkuu wa  mkoa afunguka na kusema hay:

Wanasema lile tetemeko lilitokea ziwani eneo la Minziro, zile ni after shocks za lile lililotokea mwaka jana mwezi wa tisa na wanasema ni vizuri yaendelee kutokea hayo madogomadogo kuipa nafasi miamba ipumue kuliko kukaa muda mrefu miaka na miaka alafu linatokea kama  lile la mwaka jana’RC Kijuu
Wanasema hizi after shocks zitakuwepo na zitaendelea kuwepo ni miamba inapumua,muhimu tuzingatie yale tuliyokuwa tunashauliwa na wataalamu mbalimbali wa miamba waliokuja na tuachane na taaruki‘-RC Kijuu
Full video Hii hapa 


0 Comments:

Post a Comment