TAARIFA: CHADEMA kujadili Bajeti ya chama , mwenendo wa siasa nchini pamoja na hali ya uchumi nchini

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatarajia kufanya kikao Maalum kitaifa cha kujadili bajeti ya chama hicho , mwenendo wa siasa nchini , pamoja na hali ya uchumi kwa kuchukua taarifa za nchi nzima .

Mkutano unaotarajiwa kufanyika jumamosi ya tarehe 27 keshokutwa utafanyika makao makuu ya nchi mjini Dodona. 

0 Comments:

Post a Comment