EXCLUSIVE: Dimbani ni taarifa ya kujiuzulu Yusuph Manji wa Yanga

Imethibitika kuwa M/Kiti wa Timu ya Dar es salaam young Africans Yusuph Manji Amejiuzulu Rasmi.

Taarifa kwa uma iliyotolewa na Yusuph Manji amethibitisha kujiuzulu kwake. Katika taarifa hii Manji amesisitiza "Yanga ni yetu sote"


0 Comments:

Post a Comment