VIDEO UPDATES: Rais JPM Kupokea taarifa ya kamati ya kuchunguza Makontena ya mchanga wa dhahabu

Rais Magufuli alipofichua upitishwaji wa magari kiholela bandarini. Picha hii ni ya wakati rais alipoitembelea kwa kushtukiza bandari ya Dar es salaam na kuibua uhuni huo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli kesho atapokea taarifa ya kamati ya kuchunguza mchanga wa dhahabu unaosafirishwa nje ya nchi.

Taarifa ya kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu imesema kesho siku ya May 24 mwaka huu rais atapokea taarifa hiyo.

VIDEO KUTHIBITISHA HILI IKO HAPA 



0 Comments:

Post a Comment