PICHA: Nimekusogezea picha ya Rais mstaafu JK , akiwa kijini kwake

Rais mstaafu wa awamu ya Nne, Mh Jakaya Kikwete,akiwa mapumzikoni kijijini kwake Msoga,huku akiendelea na shughuli za kilimo.

0 Comments:

Post a Comment