HIVI PUNDE: Msanii Dogo Mfaume amefariki dunia

Bila shaka wamfahamu Msanii huyu staa wa wimbo Juma Dede' ambaye alikuwa ameathirika na matumizi ya dawa za kulevya.

Kutok hospitali ya Muhimbili taatifa iliyotufikia no kwamba staa huyo alikuwa afanyiwe upasuaji baada ya kutokea uvimbe katika ubongo wake.

Mmiliki wa Sobber House ambaye alikuwa akimsimamia Dogo Mfaume anasema "
Afya yake ilikua nzuri kabisa na alikua ana mwaka mmoja toka ameacha utumiaji wa dawa za kulevya ‘unga’ na tulikua tumejiandaa kesho twende tukamtolee damu"

Aliniambia naomba nisimamie tu mimi nakaa hapahapa…… masikini ya Mungu huu uvimbe eeeh Mungu jamani… amefariki na wameshamzungushia na kile kitambaa cha kijani

0 Comments:

Post a Comment