Msanii huyo ameiambia 360 ya Clouds kwa amekuja rasmi kuitambuliaha brand mpya ya WCB Wasafi yaani Kichwa kipya.
"Ujio wangu hapa leo ni kwa ajili ya kumtambulisha kijana wetu mwingine kama sehemu ya kuwasaidia wengine. Nawashukuru sana Clouds Media kuwa kama daraja kuwasaidia wengine. Kama nisingesaidiwa nisingefika hapa. Inapotokea mtu anasaidiwa nashiriki kwa kidogo nilichonacho kwa sababu mimi nisingesaidiwa nisingefika hapa.
“Moto wa Clouds ni Redio Ya Watu, na Televisheni Ya Watu kwa hiyo nawashukuru kwa sababu hawaishii kwenye burudani tu wanakuwa karibu na watu kwa kuishi kwenye maisha yao halisi. Nafahamu mangapi Clouds wamenisaidia na siwezi kusahau.” – Diamond Platnumz.

“Kama mimi nilisaidiwa ni nafasi yangu kuwaunga mkono kuwasaidia wengine walio katika matatizo. Nakumbuka Kipepeo nilitoa Tsh. 5m. Huu ni msimu wa shukrani mimi namshukuru kila mtu na nawashukuru sana Clouds FM kwa sababu wamenisaidia.
Moja ya show alizowahi kufanya Diamond nchinj Oman hivi karibuni kama miendelezo ya show zake ulimwnguni. |
“Moto wa Clouds ni Redio Ya Watu, na Televisheni Ya Watu kwa hiyo nawashukuru kwa sababu hawaishii kwenye burudani tu wanakuwa karibu na watu kwa kuishi kwenye maisha yao halisi. Nafahamu mangapi Clouds wamenisaidia na siwezi kusahau.” – Diamond Platnumz.
0 Comments:
Post a Comment